Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #10,621
alifanya kosa gani? Mbona niliona alichezesha poa tu, ninachojua hawa waamuzi wanapunguzwa kwa sababu mechi zimebaki chache!Refarii Mustapha Ghorbal wa Algeria ameondolewa katika orodha ya waamuzi baada ya kuboronga mechi ya DR Congo Vs GuineaView attachment 2896872
Hili ni janga Mtani. 😔Mchawi umeme
Duuh!Refarii Mustapha Ghorbal wa Algeria ameondolewa katika orodha ya waamuzi baada ya kuboronga mechi ya DR Congo Vs GuineaView attachment 2896872
Yan wamejua kuifanya siku yangu kuwa ngumu😄 Cape verde walimtoa south kwakuwa walikuwa hawana mfungaji...😃 Ila Nigeria hii strikers wake hawezi kukuacha kwenye nafasi hata moja wakipata
Hahahaa. Pole sana Mkuu.Yan wamejua kuifanya siku yangu kuwa ngumu😄
Umeonaee. Osimhen na Lookman hawanaga masihara pale mbele.Cape verde walimtoa south kwakuwa walikuwa hawana mfungaji...😃 Ila Nigeria hii strikers wake hawezi kukuacha kwenye nafasi hata moja wakipata
Advantage nyingine ya Bafanabafana nadhani ni kujituma uwanjani sema tuone nani atapita... Baada ya kipenga cha mwisho
Ila haikuwa ya kuvutia hata kidogomechi yao ilikua ya kiufundi sana
Hatujiumi umi wa la nini tupo wazi kabisaMbona watu mnajiuma uma kutaja timu leo?
1. Nigeria
2. Ivory Coast
Timu zangu leo, tukutane baadae...
Hiyo ya 2 itakuponza, shauri yako.Hatujiumi umi wa la nini tupo wazi kabisa
1.Nigeria
2.Inonga Bacca
Hao ndio mabingwa wenyewe wa Afcon 2023, Congo DRHiyo ya 2 itakuponza, shauri yako.