Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Tuombe iwe hivyoπ₯Hahahaa. Pole sana Mkuu.
Umeonaee. Osimhen na Lookman hawanaga masihara pale mbele.
Ila mnaweza enda final Mkuu mwishowe mkachukua ndoo. π
Uzuri wa mpira hauchezwi chumbani, tusubiri tuone.Hao ndio mabingwa wenyewe wa Afcon 2023, Congo DR
Achana na mwenyeji safari yake inafia hapa leo karibu kwa Inonga na Mbemba
InshaAllah.Tuombe iwe hivyoπ₯
Yeyote nani na nani Mkuu? πππAfcon waliona siwezi kwenda fainali na machama yangu yote wakaamua nibaki na mojaπ
Anyway yoyote apite tuu baadae
Na wamesepa naoMchawi umeme
Leo nipo kwa Wasauzi na Wacongo
Si Nigeria na South πππYeyote nani na nani Mkuu? πππ
Wanasemaga "it's not over until it's over" hivyo subiri ninety minutes au 120 minutes au penalties ndo zitaongea Mkuu usikate tamaa mapema hivvi. π