Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #1,081
Algeria Vs AngolaKifuatacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Algeria Vs AngolaKifuatacho
Hizo lazima🤣Mechi za taifa stars nitajitahidi nizichek mwanzo mwisho 😄
Niwaone wanavyo sakata kabumbu 😄Hizo lazima🤣
Onana kumekucha sasa huko hachekewi kusepa kesho huyu🤣🤣
Inasemwkana kasema hivi
"" If I wasn't going to play or make the team then why did I come here on a private jet ""
View: https://x.com/MickyJnr__/status/1746948869672386774?s=20
Mkuu Sakata la Onana ebu fatilia alijaanza leo kuwasumbua Cameroon na anafanya ivo kwa sbb anapewa kiburi na Mwanae Eto'o kwa sbb kamkuza kwny academy akiwa anajua kbs hawez kumuacha wkt yy ndo rahis wa shirikisho na kocha kamweka mwanae wa damu Song.Kulikuwa na makubaliano ya pande zote(Onana, Man U na Cameroon) ya Onana kucheza Man U then Cameroon ndani ya saa 24.
Ila kilichofanya asipangwe leo kikosini ni kuwa alichelewa kufika Kambini baada ya changamoto ya usafiri kwa Ndege kutokana na hali ya hewa.
Yaani Ndege ilirudi Abdijan baada ya kuruka, ndipo Onana akaenda kupanda Sai Baba akatumia masaa 2 road hadi kufika kambini
waoga hawa wanamuogopa muarabu koko huyu awa si kama wapemba tu wa zanzibarAngola basi linaanza kupakiwa dakika ya kwanza... Watatoboa kweli
Cameroon hamna kitu pale wasindikizaji tu kama stars yakina mzamiru yasinCameroon bado sijaona uwezo wapo kawaida
Waarabu ambao sisi ndio tumepitia hapo [emoji23]waoga hawa wanamuogopa muarabu koko huyu awa si kama wapemba tu wa zanzibar
Tumewabana Cameroon Mbavu
na tuliwachapa kweli kiatu nakumbuka haji mnonga alikua anaingia uvunguni kweli kweliWaarabu ambao sisi ndio tumepitia hapo [emoji23]
Yes.. na Novatus Dismas aliwachapa matobo vilevilena tuliwachapa kweli kiatu nakumbuka haji mnonga alikua anaingia uvunguni kweli kweli