Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Yule ni jau sanamarefa wa ki Africa bwana ni wajabu sana kuna yule mlevi alikua anamalizia mechi dakika 85 naona msimu huu hawajampa nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni jau sanamarefa wa ki Africa bwana ni wajabu sana kuna yule mlevi alikua anamalizia mechi dakika 85 naona msimu huu hawajampa nafasi
🤣🤣🤣 hawaamini.Etoo ingia basi kama vipi
Mnooooo.. Saivi Guinea hawajaseto kabisaImeleta madhara sana
😁😂🤣afu hawa cameron ndio walimwambia Baba ake mbappe atoe rushwa ili apewe nafasi kwenye li timu libovu kama hili
Anajisahau sana onanaKmnn utadhani mtu wa maana golini. Bora hata Ayoub wetu
Hizi mechi binafsi nacheki highlights tuu sasa hiviAwe mpole tu..
Hawa guinea tuwacheki next game wakiwa wametimia
Juhudi wanayo
walizidiwa Nguvu tu ila kimbinu walikua vizuri sanaKwakweli Guinea made it hapa mwisho walielemewa sio poa [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mimi hapa mpaka kesho tena mechi ya mali na wazuluHizi mechi binafsi nacheki highlights tuu sasa hivi
Tumewabana Cameroon MbavuMnooooo.. Saivi Guinea hawajaseto kabisa
🤣🤣🤣🤣afu hawa cameron ndio walimwambia Baba ake mbappe atoe rushwa ili apewe nafasi kwenye li timu libovu kama hili
Wataubonda sana next gameKwakweli Guinea made it hapa mwisho walielemewa sio poa 👏👏👏👏👏
Mechi za taifa stars nitajitahidi nizichek mwanzo mwisho 😄Mimi hapa mpaka kesho tena mechi ya mali na wazulu