2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Sawa sawa. Je hii inaleta picha gani kwa maendeleo ya wachezaji wa ligi za ndani?
Wengi wao ni wavivu na hakuna namna tunaweza kuwatetea, we angalia hata hapa Tz utaona kuwa wachezaji wa nje ambao kwao ni magarasa huku wanaonekana ni mastar wa kutupwa.

Miaka yote hiyo Tz mpaka leo ina wachezaji wawili tu wa maana ambao imezalisha kutoka ligi ya ndani (Samatta, Msuva, na kinda Miroshi), itakuchukua muda gani kupata squad kamili? Kumbuka Samatta na Msuva wameisha.

Acha tutumie masalia yaliyotengenezwa na wenzetu tu.

Fikiria vikosi vilivyoko AFCON halafu sisi tunapeleka Kibwana, Mwamnyeto, Mwaikenda, Mudathir, Himid Mao, Feisal eti wakapishane uwanjani na talents kubwa za mataifa kama Congo, Morocco na Zambia, zinazocheza nje.
 
Ndo namshangaa na mm.

Yan wenzake wako kambin yy jana yake anacheza game Manchester hlf leo wenzake wana game hlf uje umpange.. Yan kwamba unamuogopa au nn?

Tena ni basi tu mm ndo kocha namwambia wazi kbs sikutaki hata kikosi ww baki Manchester ntabak na squad yng niliyo nayo.
Kulikuwa na makubaliano ya pande zote(Onana, Man U na Cameroon) ya Onana kucheza Man U then Cameroon ndani ya saa 24.

Ila kilichofanya asipangwe leo kikosini ni kuwa alichelewa kufika Kambini baada ya changamoto ya usafiri kwa Ndege kutokana na hali ya hewa.

Yaani Ndege ilirudi Abdijan baada ya kuruka, ndipo Onana akaenda kupanda Sai Baba akatumia masaa 2 road hadi kufika kambini
 
Wengi wao ni wavivu na hakuna namna tunaweza kuwatetea, we angalia hata hapa Tz utaona kuwa wachezaji wa nje ambao kwao ni magarasa huku wanaonekana ni mastar wa kutupwa.

Miaka yote hiyo Tz mpaka leo ina wachezaji wawili tu wa maana ambao imezalisha kutoka ligi ya ndani (Samatta, Msuva, na kinda Miroshi), itakuchukua muda gani kupata squad kamili? Kumbuka Samatta na Msuva wameisha.

Acha tutumie masalia yaliyotengenezwa na wenzetu tu.

Fikiria vikosi vilivyoko AFCON halafu sisi tunapeleka Kibwana, Mwamnyeto, Mwaikenda, Mudathir, Himid Mao, Feisal eti wakapishane uwanjani na talents kubwa za mataifa kama Congo, Morocco na Zambia, zinazocheza nje.
sis ni wasindikizaji haiwezi mchezaji kutoka Namungo akacheza timu ya Taifa na ni bora tungeota wachezaji wote kutoka
 
Back
Top Bottom