United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
cameron kafa goli moja hukumkuu ngapi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cameron kafa goli moja hukumkuu ngapi ngapi?
1-1cameron kafa goli moja huku
watoto watafungwa tu nyekundu imewaasili
Kuna siku Japan iliikiza Senegal vibaya sana. Kuwa mchezaji mzuri ni akili inspaswa kuwa kubwa na si mwili pekee.Giants kweli kweli.
Ndio wakutane na akina Feisali [emoji23][emoji23][emoji23].
Tutashuhudia maajabu
Onana kumekucha sasa huko hachekewi kusepa kesho huyu🤣🤣
Inasemwkana kasema hivi
"" If I wasn't going to play or make the team then why did I come here on a private jet ""
View: https://x.com/MickyJnr__/status/1746948869672386774?s=20
Itabidi tuiuze Simba ndio tumnunue.Kafanya mambo makubwa sana.
Uzuri Simba tushamwona...
Wengi wao ni wavivu na hakuna namna tunaweza kuwatetea, we angalia hata hapa Tz utaona kuwa wachezaji wa nje ambao kwao ni magarasa huku wanaonekana ni mastar wa kutupwa.Sawa sawa. Je hii inaleta picha gani kwa maendeleo ya wachezaji wa ligi za ndani?
Kwa kile kiungo cha Himid Mao, Mudathir, Feisal unashinda mechi ipi?[emoji16]Game ya tanzania naisubiri sana, tuone kazi kazi au kidumu chama cha mapinduzi[emoji1787]
Kulikuwa na makubaliano ya pande zote(Onana, Man U na Cameroon) ya Onana kucheza Man U then Cameroon ndani ya saa 24.Ndo namshangaa na mm.
Yan wenzake wako kambin yy jana yake anacheza game Manchester hlf leo wenzake wana game hlf uje umpange.. Yan kwamba unamuogopa au nn?
Tena ni basi tu mm ndo kocha namwambia wazi kbs sikutaki hata kikosi ww baki Manchester ntabak na squad yng niliyo nayo.
sis ni wasindikizaji haiwezi mchezaji kutoka Namungo akacheza timu ya Taifa na ni bora tungeota wachezaji wote kutokaWengi wao ni wavivu na hakuna namna tunaweza kuwatetea, we angalia hata hapa Tz utaona kuwa wachezaji wa nje ambao kwao ni magarasa huku wanaonekana ni mastar wa kutupwa.
Miaka yote hiyo Tz mpaka leo ina wachezaji wawili tu wa maana ambao imezalisha kutoka ligi ya ndani (Samatta, Msuva, na kinda Miroshi), itakuchukua muda gani kupata squad kamili? Kumbuka Samatta na Msuva wameisha.
Acha tutumie masalia yaliyotengenezwa na wenzetu tu.
Fikiria vikosi vilivyoko AFCON halafu sisi tunapeleka Kibwana, Mwamnyeto, Mwaikenda, Mudathir, Himid Mao, Feisal eti wakapishane uwanjani na talents kubwa za mataifa kama Congo, Morocco na Zambia, zinazocheza nje.
Gabon national team player Guélor Kanga Kaku will be meeting CAF disciplinary committee to explain why his mother died in 1986 but he was born in 1990.
View attachment 2866261