2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

LAbda game zijazo atacheza maana niliona post inasema cameroon na man utd zilikubaliana kua akimaliza game na tottenham ndo atasepa.

Ngoja tuone , ila hii ya leo kutokuwepo kwenye game lilikua jambo la wazi sijui jamaa alitaka kusemaje[emoji1787]
Ndo namshangaa ww mtu kafika jana alikua kwny safar ndef ya ndege kwnn leo aanze wkt kuna watu washafanyia kaz game plan.
 
[emoji23]Watu wanachukulia kauli yako kama masihara lkn ukweli ni kwamba Kikosi chote ha Cape Verde hakuna hata m1 anacheza team ta Africa wote wanacheza ulaya kweli.

Kwhy iyo inaweza kua sababu kwnn soka lao wanalitandaza kwa umaridadi mkubwa.
Basi wako vzr sana ukiangalia nchi yao ina idadi ndogo sana ya watu takribani laki 5. Wanaubonda haswa
 
Mpaka sasa sijaona timu inayocheza mpira wa kueleweka kama cape verde. Wanacheza mpira wa kiulaya kabisa
Unajua kuna kitu watu hawaelewi.

Safari hii team nyingi sana zimekuja na wachezaji wanaocheza nchi za nje. Mataifa mengi yamefanya kama ilichokifanya Tz kuwaita wachezaji wao waliokulia nje ila hawajapata nafasi za kuitwa mataifa ya huko, tofauti ni kwamba wenzetu wamefanikiwa kwa kupata wachezaji wa aina hiyo wenye viwango kuliko sisi.

Leo nimefuatilia team ndogo ambazo zimeshacheza (Guinea zote, Msumbiji, Gambia) ,wachezaji wote ni wa nje na wengi wao hawajaanzia mpira kwenye mataifa yao.

Ni kama mashikisho mengi ya mpira kwa Africa yameshtuka na kuacha kutegemea kuzalisha wachezaji kutoka ligi zao za ndani.
 
Sawa sawa. Je hii inaleta picha gani kwa maendeleo ya wachezaji wa ligi za ndani?
 
Unajua kuna kitu watu hawaelewi.

Safari hii team nyingi sana zimekuja na wachezaji wanaocheza nchi za nje. Mataifa mengi yamefanya kama ilichokifanya Tz kuwaita wachezaji wao waliokulia nje ila hawajapata nafasi za kuitwa mataifa ya huko, tofauti ni kwamba wenzetu wamefanikiwa kwa kupata wachezaji wa aina hiyo wenye viwango kuliko sisi.

Leo nimefuatilia team ndogo ambazo zimeshacheza (Guinea zote, Msumbiji, Gambia) ,wachezaji wote ni wa nje na wengi wao hawajaanzia mpira kwenye mataifa yao.

Ni kama mashikisho mengi ya mpira kwa Africa yameshtuka na kuacha kutegemea kuzalisha wachezaji kutoka ligi zao za ndani.
Game ya tanzania naisubiri sana, tuone kazi kazi au kidumu chama cha mapinduzi🤣
 
Back
Top Bottom