2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

AFCON all-time leading scorers:

🇨🇲 𝗦𝗮𝗺𝘂𝗲𝗹 𝗘𝘁𝗼’𝗼 (𝟭𝟴)
🇨🇮 Laurent Pokou (14)
🇳🇬 Rashidi Yekini (13)
🇪🇬 Hassan El-Shazly (12)
🇨🇮 Didier Drogba (11)
🇪🇬 Hossam Hassan (11)
🇨🇲 Patrick Mboma (11)
 
Mimi nilikua namwambia mtu hapo juu kua kwnz huyu onana mm nisinge hata muita kwny kikosi.. Kwnz yy anajiona nan lbd? Yan ww utokee ulaya na ndege ya usiku usiku uje hlf leo una demand uwe kwny starting line up?.. Wenzako wamefny tactics and planning ww kwa kua ni special sana unatak kuanza?

Na yote aya anayaletea mwanae Samuel Eto'o kuleta mambo ya ushikaji kwny kikosi cha Cameroon.. Analeta ushikaji wote huu kwnz kwa kua Onana kakulia kwny academy yake...ndo maana pa1 na disciplinary problems za onana kuanzia kipind kile cha WC kutaka kumpangia Song namna team icheze.. Nilishangaa kwnn hata Song kamuita tena wkt ni mtovu wa nidhamu tena alivo boya akaona haitoshi kawaambia tena Cameroon kua anaomba kwnz kucheza game ya Tottenham ndo aje hlf anakuja usiku wa jana leo ana demand kuanza?.. Ushikaji wa Eto'o unaua sana hii team na hata alivo mteua mwanae kua Kocha wa team(Rigobert song).
 
Mkuu Sakata la Onana ebu fatilia alijaanza leo kuwasumbua Cameroon na anafanya ivo kwa sbb anapewa kiburi na Mwanae Eto'o kwa sbb kamkuza kwny academy akiwa anajua kbs hawez kumuacha wkt yy ndo rahis wa shirikisho na kocha kamweka mwanae wa damu Song.

Ivi ww kama kweli ni mzalendo na team yako ya taifa unaweza kuomba uongezewe mda eti ucheze game ya mwsho wkt wenzio wako kambini.

Ivi onana na Salah nan star?... Mbona Salah kaja mapema kawaacha liver wakiwa wanamuitaji kbs lkn kaenda team ya taifa.. Onana ni mshenz m1 tu ambaye anapewa kiburi na Eto'o kwa sbb ya ushkaji wake wa kumkuza.

Na anafanya ivo akijua kocha pia anachukua maagizo ya Eto'o vinginevyo huwez mfanyia kocha wa maana ufala huo aliofanya na WC hlf akuite na bado uchelewe hlf una demand kupangwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…