Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Baadae usikimbie hapa kaka πmpo nyuma mda wote kama kuku wamdondo
Wale hawapati kitu kakaWauza vumbi mmejipang haswaa ila wale wanaijeria Uchawi umelala nao si haba
Inonga msimu ujao abaki anasepadaraja kwa wachezaji wenye vipaji sio kwa kila mtu
Kati ya mikoa au majimbo 26 (kwao wanaita provinces) ni majimbo manne (04) ndio yenye machafuko/vita ya mara kwa mara.Ila hawa wacongo sijui wamewezaje kufika nusu fainali ili hali nchi yao kila siku vita hao wachezaji timu ya taifa sijui wamepatikanaje
Hii ni fedhea sana kwa nchi za africa mashariki ambao tuna kila kitu lakini hata nusu hatujafika
Kuna Mdau kasema anacheza UswahiliniInonga kaanza uswahili
mimi nipo mzeeee wew kakaa kwa kutulia upigwe chuma hapaaBaadae usikimbie hapa kaka [emoji23]
Umeona alichomfanyia Gradel [emoji1787][emoji1787]Watakuja muua kwenye tobo dunda π
Ujinga sana. Wameshindwa hata na wapika tambi AsiaKulikuwa na haja gani nusu fainali zote kuchezwa siku moja[emoji55]
kwenda na time tableKulikuwa na haja gani nusu fainali zote kuchezwa siku moja[emoji55]
Mayele ni ex, mi wala simshobokei kwanza ana kiherehere sana π πAcheze mayele basi
Yani nimekukumbuka sana leo b⦠Naona hata uvivu kuangalia ila ndio sitaki kupitwa sasa.Lol. Sijui huwa wanapangaje muda wa mechi hawa jamaa?
Ova
Hata hiyo angefunga tu VAR ingefanya yake
Wa congo man mpo wengi inabid michuano ikitamatika mfanya mpango mkasaidie kutuliza amani kule GomaWissa out silas in..
Elia kulia..silas kushoto
Wenzenu tuliyasikia hayo kwenye nchi mbili tofauti, tulia.Nani kasikia Inonga from Simba Tanzania
unalaje mapema ivi hujui kama vita mara nyingi vinaaza UsikuMaji yamezidi unga mtanipa matokeo kesho [emoji42][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99][emoji99][emoji99][emoji99][emoji42][emoji42][emoji42]!
[emoji99][emoji99][emoji99][emoji99][emoji99][emoji99][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]