B… wenzio wapo DRC kwa ajili ya mtu wenu Inonga ujue?Haya washapigwa, wacheze mpira sasa, majitu yako saba kwenye boksi wanazidiwa na watatu.
Ukishacheza kwa kulinda na watu 8, huo ni mpira gani?
Ova
Mwamba ni striker haswaawew siunaliona linavyojitwisha Ndoo na apo alishaaugua kitandani miezi sita anatibu Cancer lakini balaa lake sio la Nchi hii
unachekesha 😅Mayele tuokoe baba kalala weeeh💔
Bahati mbaya sijawapenda kwa huo uchezaji walioanza nao.B… wenzio wapo DRC kwa ajili ya mtu wenu Inonga ujue?
Anamuweka Nani wew unazani ivory coast ni mtibwa sugarMayele anawaweka hii
Nilisema mwanzonidah hivi huyu motsepe anapaa na ungo ama kitu gani?
mechi ya nigeria imeisha sa 5 kasoro dk 5 mara dakika yupo huku
Atakuwa na private jet, tajiri huyo.dah hivi huyu motsepe anapaa na ungo ama kitu gani?
mechi ya nigeria imeisha sa 5 kasoro dk 5 mara dakika yupo huku
kuna jamaa kila siku humu alikua anaongea kilingara sjui kombe lipo kisnsha sjui kombe GomaHawa congo si ndio waliwatoa mabingwa mara nyingi wa afcon/egypt sio! Aise watolewe kabisa
Ivory Coast nipigieni hao warudi msituni huko kwa m23
Lakini b.. hata kabla ya mpira kuanza DRC sio lolote mbele ya Ivory Coast kwenye michuano hii.Bahati mbaya sijawapenda kwa huo uchezaji walioanza nao.
Ova
Ndio ujue elimu dunia ni muhim...ujue kusomaHawa jamaa wa Ivory Coast wanapeana vimemo uwanjani
Utaniua mbavu zangu.kuna jamaa kila siku humu alikua anaongea kilingara sjui kombe lipo kisnsha sjui kombe Goma