2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Unapoingia kwenye hatua hii katika michuano mikubwa namna hii, haitakiwi kucheza kiudogo. Inatakiwa kutoa kitu cha ziada. Kile ambacho watu hawakuwahi kukiona kwako.

Mbona sasa wameanza kusambaa vizuri uwanjani? Sio kujirundika nyuma kama mechi ya kutafuta point.

Ova
Ni kama Nigeria leo, walionesha upinzani na ari ya kushinda mechi mwanzo mwisho.

Ila b… na mimi nifurahi jamani, unakumbuka last week nilivyokuwa na wakati mgumu?
 
Kocha wa Kongo anamuingiza mayele dakika za mwishoni , sijui Kama itamsaidia.

Anyway Kama Ivory Coast atashinda Leo wacha abebe kombe lake maana amegharamia sana.

Masandawana wapambane kuingia wc 2026
 
Back
Top Bottom