2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nimeiba kimemo chako cha wiki iliyopita. Haiwezekani utishe vile mwenyewe.

Nakuambia mapemaaaaaa, mshindi wa 3 ni SA bingwa ngoja niendelee kufanya tathmini ya kina.
Lol! Hata mimi siwaoni DRC wakipata kitu mbele ya SA. Fainali huwa ina tabia za ajabu sana, hadi mechi ianze ndiyo unaweza kuiona vizuri.

Ova
 
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Presha imenipanda mwenzenu[emoji24][emoji24][emoji24]
wew sio wakutwambia kombe lipo Goma hizo ni dharau dhidi ya mashabiki leo Nendeni kakateni Mauno kama siku zote
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom