Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
B… wenzio wapo DRC kwa ajili ya mtu wenu Inonga ujue?Haya washapigwa, wacheze mpira sasa, majitu yako saba kwenye boksi wanazidiwa na watatu.
Ukishacheza kwa kulinda na watu 8, huo ni mpira gani?
Ova