Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #1,141
Bajana aambiwe kabisa huku Afcon kuna VAR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Algeria hawaja poa ni msako toka game imeanzaAlgeria anatoa somo kubwa hapa namna gani timu inatakiwa icheze
Anataka magoli zaidi, maana hajui mbeleni itakuajeKocha wa Algeria anafoka foka balaah
Hataki utani hata kidogoAnataka magoli zaidi, maana hajui mbeleni itakuaje
Game ikichangamka unaona muda unawahi kuisha unatamani hata muda uwe mrefu ila game ikiwa mbovu inakeraMechi imechangamka sana
Kiukwl ndo mpr mzr wa kasi na wa msako unaleta sana furaha.. Yan wanacheza mpr wa kwny kitabu mzr.Algeria anatoa somo kubwa hapa namna gani timu inatakiwa icheze
Na Morocco nao wanacheza mpr huo huo mshike mshike.. Tukileta mambo ya kifala tutakula 2 za hrk hrk kwnz kutuweka akil sawa.Tutapigwa nyingi tukileta masihara yetu
Mpr umechangamka sio wa kulala kifala fala.. Watu wanakimbia unaona kbs hawa watu wanacheza mprEbana imebidi niwashe TV niangalie mtanange, baada ya kusoma comments
Kasi ile ile imerudiMpr umechangamka sio wa kulala kifala fala.. Watu wanakimbia unaona kbs hawa watu wanacheza mpr
Hawa hawapoi.. Hii ndo nimeona mechi ambayo ina amsha amsha za maana had ssKasi ile ile imerudi
SureHawa hawapoi.. Hii ndo nimeona mechi ambayo ina amsha amsha za maana had ss