Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hii mechi ni full kukimbizana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapiga mpira wa kawaida tu sema penalty imewaangukia tu kama Misri janaHivi mnaona mpira unaopigwa na Angola? Hii AFCON haitaki mzaha.
Tz yangu sijui itakuwaje.
Alikosa, Ila amewahi kuuingiza Ila ilikuwa kakosaKidogo akose ila amepata
Ulidundia ndaniAlikosa, Ila amewahi kuuingiza Ila ilikuwa kakosa
Siyo ulidundia kwenye mwamba ule?Ulidundia ndani
Alikosa, Ila amewahi kuuingiza Ila ilikuwa kakosa
Uligonga mwamba ukadundia ndaniSiyo ulidundia kwenye mwamba ule?
Sawa, sema Hawa Algeria wepesi hawana maajabu.Uligonga mwamba ukadundia ndani
Hiki kipindi cha pili Algeria kapigwa msako wa maana, kila mara Angola alikuwa langoni kwake na hata hiyo penalty inatokana na presha hiyo.Wanapiga mpira wa kawaida tu sema penalty imewaangukia tu kama Misri jana
Acha tuone ila wapo vizuriSawa, sema Hawa Algeria wepesi hawana maajabu.
Nakubali Mkuu. Mbungi inapigwa ya 10,000/=Mpr umechangamka sio wa kulala kifala fala.. Watu wanakimbia unaona kbs hawa watu wanacheza mpr
KweliHiki kipindi cha pili Algeria kapigwa msako wa maana, kila mara Angola alikuwa langoni kwake na hata hiyo penalty inatokana na presha hiyo.
Ni mechi yenye ushindani haswa, regardless nani atashinda.
Hapana mkuu ile ilishavuka mstari ila kumaliza utata akamalizia kabisa
Hhaha kwahiyo ukaona na wewe ucheki Gam mkuuNakubali Mkuu. Mbungi inapigwa ya 10,000/=