2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mimi wote siwapendi
Ivory coast siyo wa kuwalazama Mane na viatu

Acha wakutane wanga na matapeli.

South roho imeniuma sana aisee
Lile kipa la Nigeria kama Alqaida
Mimi yeyote tu apite ila hili kombe wasichukue Nigeria, nilikuwa siwapendi Ivory Coast ila kwa sasa niko upande wao, nawaombea wabaki tu na hili kombe nyumbani kwao
 
Sikuependelea kuona Afrika ya Magharibi wanaingia fainali peke peke yao, nilipenda angalu mmoja kati ya SA au DRC waingie.
 
Sasahivi siangalii tena
Wote siwapendi.

Hii Afcon ningekuwa mtu wa kubet ningeliwa pesa zote.
 
Tokea waondoke nina raha sana. Hata babe akiangalia mpira nina amani.
Zimebaki sura ngumu tu, sina pressure.

Kuna wakati ilikuwa najiuliza, ina maana nae anaona hivi pia? Dah
Kukudokezea tu, baadhi yao tumeshawasaka huko Tik Tok na IG, famchezo nini 🤣😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…