2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mimi wote siwapendi
Ivory coast siyo wa kuwalazama Mane na viatu

Acha wakutane wanga na matapeli.

South roho imeniuma sana aisee
Lile kipa la Nigeria kama Alqaida
Mimi yeyote tu apite ila hili kombe wasichukue Nigeria, nilikuwa siwapendi Ivory Coast ila kwa sasa niko upande wao, nawaombea wabaki tu na hili kombe nyumbani kwao
 
Sikuependelea kuona Afrika ya Magharibi wanaingia fainali peke peke yao, nilipenda angalu mmoja kati ya SA au DRC waingie.
 
Sasahivi siangalii tena
Wote siwapendi.

Hii Afcon ningekuwa mtu wa kubet ningeliwa pesa zote.
Hata mimi SA wameniuma ila ndio hivo hatuna budi kukubaliana na ukweli, nina imani IC watatulipia kisasi juu ya hili natamani hilo kombe libaki tu hapo kwao, kama kweli ulikuwa mshabiki wa SA kutoka moyoni basi fainali lazima utakuwa upande wa IC bila kujali huko nyuma walimtoa nani na walipitapita vipi
 
Ndio Maana Nchi Yenu haina mademu wazuri kama cape verde
20240204_225532.jpg

Ndio maana nchini kwenu hamna maendeleo ya mpira
 
Tokea waondoke nina raha sana. Hata babe akiangalia mpira nina amani.
Zimebaki sura ngumu tu, sina pressure.

Kuna wakati ilikuwa najiuliza, ina maana nae anaona hivi pia? Dah
Kukudokezea tu, baadhi yao tumeshawasaka huko Tik Tok na IG, famchezo nini 🤣😂🤣
 
Back
Top Bottom