Pole sana rafiki. Ila mshindi wa tatu mnapata.Hahahahaha...hawajalala wanaoitwa kichwa cha mwenda wazimu ..tulale sisi ?
Nasubiria kuona wale wa inonga wanasemaje
Pole sana🤣😭😭😭😭😭😭 😂🤣
😅Mmoja yupo juu hapo Charles kilian😂😂😂 Ile game ilikuwa hatari.
Pole kwao hasa wale wafuasi wa Inonga. 😂😂
Na Simba tujiandae kumuachia sasaInonga hoyeeeeee.....mmepambana vya kutosha...umebaki kwny historia..
Simon AdignraNani huyo
Hahahaaa. Lol.😅Mmoja yupo juu hapo Charles kilian
Ahsante Rafiki ..tunaenda kufa na SAPole sana rafiki. Ila mshindi wa tatu mnapata.
Mnawamudu wale rafiki.Ahsante Rafiki ..tunaenda kufa na SA
Yani hana siku nyingiNa Simba tujiandae kumuachia sasa
Hata wale wa jana wepesi tu..sema mtu kwaoMnawamudu wale rafiki.
Kweli kabisa rafiki sababu hata mi mwenyewe sikutegemea kama wange watoweni.Hata wale wa jana wepesi tu..sema mtu kwao
Wale jamaa baada ya kuvuka tu kwa best looser nikajua hawa wanaenda kubeba ndoo....Jana nilikua na uhakika wote tunashinda game.. nikiwa na jezi yangu ya leopardsKweli kabisa rafiki sababu hata mi mwenyewe sikutegemea kama wange watoweni.
Haikuwa riziki yenu. Sema mlipofika sio padogo hata.Wale jamaa baada ya kuvuka tu kwa best looser nikajua hawa wanaenda kubeba ndoo....Jana nilikua na uhakika wote tunashinda game.. nikiwa na jezi yangu ya leopards
Sie watu tunao..ila nyie ndio mjitahidi basi walau mvuke makundi mtakapo kua wenyejiHaikuwa riziki yenu. Sema mlipofika sio padogo hata.
Haya niwatakie kila la kheri rafiki walau muwe wa watu.
Asante...😂😂😂 Ile game ilikuwa hatari.
Pole kwao hasa wale wafuasi wa Inonga. 😂😂
Sisi bado sana rafiki. Japo sijui hata tunakwama wapi yaani wanaocheza ndani wa wanaochezea nje hawana hata utofauti.Sie watu tunao..ila nyie ndio mjitahidi basi walau mvuke makundi mtakapo kua wenyeji
Hahahahaa. Lol.Asante...
Wapatie wapi?🤣Pole sana rafiki. Ila mshindi wa tatu mnapata.
Ila jana nilimuonea huruma sana huyu jamaa pale alipokosa penalti.Wapatie wapi?🤣View attachment 2897753
Najua sana alikuwa ananichokoza ndio maana nikamjibu kwa utani vilevile.We utawaweza wanaume hapo ilimradi tu uone wivu umsumbue Kaka mzuri wa watu, hata wakichat huko Tiktok au Ig unafikiri kukutana ni rahisi, japo dunia ni kijiji ila kuna nchi interaction baina ya watu wao ni kwa asilimia ndogo sana mfano wabongo na waverde wapi na wapi [emoji3][emoji3]