Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Pray for Congo 🇨🇩
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani alikuwa anafananisha Bakambu na Mayele? Yule Mayele hata hata akicheza Birmingham anaweza kuchemsha.kucheza ulaya sio mchezokwa maoni yangu BAKAMBU ni bora kuliko mayele maana alivyotoka bakambu hali ikawa mbaya zaidi
Tau leo anaanzia Benchi!!
unaichakata tuMtanipa matokeo..niko bed apa na babe
🥰🥰🥰
DRC wana Afrika MasharikiMshindi wa tatu leo tunaruka na nani?
Huyu Kocha hampendi MayeleBanyamulengeView attachment 2900009
🇨🇩Mshindi wa tatu leo tunaruka na nani?
batu ba kongo...
Batoto ya nzambebatu ba kongo...
Kwani wanaumwa?Pray for Congo 🇨🇩
tutapiga mutu ya kusaouzBatoto ya nzambe
Chai 😁Mtanipa matokeo..niko bed apa na babe
🥰🥰🥰
Badae moto utakapokuwakia utaongea tuu vizur,,😁tutapiga mutu ya kusaouz
Tunapigwa na kuuawa na waasiKwani wanaumwa?
au wamefiwa?