Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imepooza sana, nilidhani ni mimi pekee.Ni mechi ambayo haina presha
Charles mongida pickel from DRC 🇨🇩 au fofana wa ivoryHivi mpaka sasa nani anaweza kuibuka mchezaji bora wa mashindano?
Mkuu ni mechi ipi unayoitizama😁Imepooza sana, nilidhani ni mimi pekee.
Kila mtu na mtazamo wake, by the time nasema hivyo hicho ndicho nilichokuwa nakiona.Mkuu ni mechi ipi unayoitizama😁
Lookman AdemolaHivi mpaka sasa nani anaweza kuibuka mchezaji bora wa mashindano?
Nimesema hapa Mkuu, nikaulizwa naangalia mechi gani. Kiukweli haivutii.Mechi mbovu sana.
Unacheki ball?Badae moto utakapokuwakia utaongea tuu vizur,,😁
Mechi mbovu sana.
Nafasi ya Mayele, inaonekana.Nimesema hapa Mkuu, nikaulizwa naangalia mechi gani. Kiukweli haivutii.