Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Jamaa alivyokuwa anatoa macho kabla ya kupiga unaweza ukaogopa, dahNini Aziz Ki? pale hata Guede anakuweka yaani ni uzembe kupitiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alivyokuwa anatoa macho kabla ya kupiga unaweza ukaogopa, dahNini Aziz Ki? pale hata Guede anakuweka yaani ni uzembe kupitiliza
Wakikosa ushindi lawama zote kwa kocha.Kongo hamna kitu,mm ni mnyama lakini hii mechi mayele angeimaliza asubuhi tu
Ngoja tuone kama atakuwa na maajabAmeshawekwa!!
Viungo vishachoka ndio wanamwingiza.Ngoja tuone kama atakuwa na maajab
Hawa wakienda 120 wataenda wenyewe siwezi kuchelewa kulala kwa kuangalia kosa kosaJamaa alivyokuwa anatoa macho kabla ya kupiga unaweza ukaogopa, dah
Nani mwingine kama Sio Victor OsimhenHivi mpaka sasa nani anaweza kuibuka mchezaji bora wa mashindano?
Kocha amezinguaViungo vishachoka ndio wanamwingiza.
kocha huyu bana
Naona umewaachia Congo gundu kiainaTimu ntakayoishabikia nitaipa gundu
Anyways, wacongoman all the best.
Sio kama DRCWasauzi nao wanakosa clear chance
Tanzania Hatuna Uraia Pacha, Hivyo wewe ni Mcongo unaye ishi Kigamboni, TanzaniaNi mcongo mwenye uraia pacha wa nchi 2 Tanzania na DRC nimezaliwa Kinshasa nimekaa sana kasumbalesa na Lubumbashi kwa upande wa Tanzania naishi kigamboni
DRC wamezidiSio kama DRC
Wanatupeleka 120.DRC wamezidi