2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Tunaandaa mazingira rafiki kwa ajili ya 2027. Miaka 3 si mbali. Halafu tunapiga kampeni ya chinchini kwa Mama Kizimkazi ili Tanzania iongeze na kukuza ushirikiano wa karibu na Cape Verde kwa hiyo maingiliano yanaweza ongezeka πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
Endelea kuota, sio kosa na uko sahihi na ni haki yako kuwa na ndoto.
 
Ni mcongo mwenye uraia pacha wa nchi 2 Tanzania na DRC nimezaliwa Kinshasa nimekaa sana kasumbalesa na Lubumbashi kwa upande wa Tanzania naishi kigamboni
Oohh sawa sawa mkuu ila huo uraia pacha bila shaka ni self declared, maana nchi yetu hii ukiwa mtoto wa mkulima sahau kuhusu suala la uraia pacha, unless wewe uko kwa the ruling class mkuu
 
Najua sana alikuwa ananichokoza ndio maana nikamjibu kwa utani vilevile.

Kaka mzuri akitaka kwenda Verde ni fasta mwaya, in fact amewahi kwenda… sio habari kwake.
Oohh basi ni vizuri, bila shaka alikutana na hao wanawake na kama angekuwa ni mtu wa hovyo, pengine angeshapita na baadhi
 
Nabeti Bingwa anatoka kati ya hizi timu:

-Morocco
-Ghana
-Senegal
-Nigeria - Finalist
-Ivory Coast - Finalist
-Egypt
-Algeria

Nilitamani Mzansi wapite ila mwendo wameupiga na kuumaliza.

Nasubiri kuona mshindi yeyote kati ya hao waliofika Fainali
 
Njoo uchukue...
Santo sanaaa on my way there πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸ€ 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…