Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kaka mshindi wa 3 inaenda DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩Wapatie wapi?🤣View attachment 2897753
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mshindi wa 3 inaenda DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩Wapatie wapi?🤣View attachment 2897753
Endelea kuota, sio kosa na uko sahihi na ni haki yako kuwa na ndoto.Tunaandaa mazingira rafiki kwa ajili ya 2027. Miaka 3 si mbali. Halafu tunapiga kampeni ya chinchini kwa Mama Kizimkazi ili Tanzania iongeze na kukuza ushirikiano wa karibu na Cape Verde kwa hiyo maingiliano yanaweza ongezeka 🤣😂🤣
Mwenyewe Anaitwa Mokoena mtu kazi kwel kwelIla jana nilimuonea huruma sana huyu jamaa pale alipokosa penalti.
Huyu si ndio anavaa jezi namba 4 au nime mfananisha?
Endeleni kuota🤣Kaka mshindi wa 3 inaenda DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Oohh sawa sawa mkuu ila huo uraia pacha bila shaka ni self declared, maana nchi yetu hii ukiwa mtoto wa mkulima sahau kuhusu suala la uraia pacha, unless wewe uko kwa the ruling class mkuuNi mcongo mwenye uraia pacha wa nchi 2 Tanzania na DRC nimezaliwa Kinshasa nimekaa sana kasumbalesa na Lubumbashi kwa upande wa Tanzania naishi kigamboni
Oohh basi ni vizuri, bila shaka alikutana na hao wanawake na kama angekuwa ni mtu wa hovyo, pengine angeshapita na baadhiNajua sana alikuwa ananichokoza ndio maana nikamjibu kwa utani vilevile.
Kaka mzuri akitaka kwenda Verde ni fasta mwaya, in fact amewahi kwenda… sio habari kwake.
Hongereni sanaGreatest Of All Time ulinicheka kwenye hii post jamaa hao fainali
Alafu wote wametoka!🤦🏾♂️Kombe linaenda Dr Congo🇨🇩 au SA🇿🇦
Njoo uchukue...
Nilitamani apite ila ndio hivyo...Mkongo ataweza kumkalisha Mwenyeji?
Nabeti Bingwa anatoka kati ya hizi timu:
-Morocco
-Ghana
-Senegal
-Nigeria - Finalist
-Ivory Coast - Finalist
-Egypt
-Algeria
Santo sanaaa on my way there 🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🤠Njoo uchukue...
Nigeria ameingia fainalTanzania tutamaliza na pointi 1.
Bingwa atakuwa Nigeria.
2po pa1
🇨🇩🇨🇩Sa 5:00 Usiku kwa Saa za Afrika MasharikiView attachment 2899636