Safi ya umaliziaji iko butu sanaDRC wasiposhinda hii mechi basi tena, wajilaumu wenyewe.
Ndio MkuuUnacheki ball?
Sawaa hizi forward za DRC haziko serious!!Ndio Mkuu
Ba congo baki hewa sanaYeyote tu ashinde
Leo sitaki maumivu
Weka MayeleNafasi ya wazi kabisa
Safi kabisaWssa huyo
Hii imekuwa too much, khaaaa!Hata timu zetu za Tanzania hazikosi magoli ya wazi hivii
Nini Aziz Ki? pale hata Guede anakuweka yaani ni uzembe kupitilizaNafasi nzuri kapiga kijinga, Aziz Ki hakuachi pale.
Hii imekuwa too much, khaaaa!
Ameshawekwa!!Weka Mayele