2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Na nilijua litawapata wacongoman kwa ule ujinga kwa kukosa magoli ya wazi

Williams ni kipa aiseee nyie🔥
Handsome mwenye uwezo wake wa kudaka.
Tatizo kubwa hawana clinical strikers, mechi ingeisa mapema maana chances wamepoteza nyingi sana. Shida hawana wamaliziaji. Mtu kama Bakambu hata alikopita ni ivo ivo, ana juhudi kubwa lakini akifika golini hamna kitu
 
Yaani wanakimbia vizuri sana
Huko golini ni vituko, hadi mtu unabaki unashangaa!
 
Tuko hapa leo kukamilisha safari tuliyoianza mnano trh 1/1/2024 thread hii ilipofunguliwa na mkuu Greatest Of All Time.

Tukutane baadae kumaliza safar hii iliyokua ya kusisimua na ya kipekee.
Safi mkuu, ngoja tumalizie shughuli leo ya AFCON kisha panapo majaliwa tukutane mwezi Juni kwenye Euro 2024 pale Ujerumani.

Kwa leo natembea na Nigeria!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…