Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Maana niliona hakuna goliYeleuwiiii. 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana niliona hakuna goliYeleuwiiii. 😅
Oh akhsanteView attachment 2900186jibu liko hapo mkuu
[emoji16]nmewakubali sana mwendo ni lowcut ikibidi kipara kabisaWako simple Sana, sijui ni amri toka juu[emoji23][emoji23]
Mkuu nataka kubeti leo, unashabikia timu gani?Congo walikuwa na nafasi ya kushinda
Ujinga wao umewacost
Unaenda matuta na South Africa
Tatizo kubwa hawana clinical strikers, mechi ingeisa mapema maana chances wamepoteza nyingi sana. Shida hawana wamaliziaji. Mtu kama Bakambu hata alikopita ni ivo ivo, ana juhudi kubwa lakini akifika golini hamna kituNa nilijua litawapata wacongoman kwa ule ujinga kwa kukosa magoli ya wazi
Williams ni kipa aiseee nyie🔥
Handsome mwenye uwezo wake wa kudaka.
Nadhani umeona hizo koswakoswa umezionaKuumbe mlikoswa koswa vya kutosha eee? 😅😅
Leo sina timu😂Mkuu nataka kubeti leo, unashabikia timu gani?
Yaani wanakimbia vizuri sanaTatizo kubwa hawana clinical strikers, mechi ingeisa mapema maana chances wamepoteza nyingi sana. Shida hawana wamaliziaji. Mtu kama Bakambu hata alikopita ni ivo ivo, ana juhudi kubwa lakini akifika golini hamna kitu
Uliwacost Drc 🤣Leo sina timu😂
Ntakuwa ivory coast kwahiyo wape Nigeria ushindi.
Ujinga wao uliwacost😂Uliwacost Drc 🤣
Leo fanya kwel kwa Ivory Coast sasaUjinga wao uliwacost😂
Mimi huwa nashabikia wanyonge😂😂😂
Bingwa ni NigeriaLeo fanya kwel kwa Ivory Coast sasa
Usiseme hvyo sema Ivory coast ili iwe vice versa😃😃Bingwa ni Nigeria
Kwanini Man of The Match Hakupewa Kipa wa Sauzi?
Safi mkuu, ngoja tumalizie shughuli leo ya AFCON kisha panapo majaliwa tukutane mwezi Juni kwenye Euro 2024 pale Ujerumani.Tuko hapa leo kukamilisha safari tuliyoianza mnano trh 1/1/2024 thread hii ilipofunguliwa na mkuu Greatest Of All Time.
Tukutane baadae kumaliza safar hii iliyokua ya kusisimua na ya kipekee.
Hata sijui mkuuKwanini Man of The Match Hakupewa Kipa wa Sauzi?
HapanaUsiseme hvyo sema Ivory coast ili iwe vice versa😃😃