Na jini Haller kaludNa leo Shughuli ipo kweli kweli Nigeria pale nyuma na katika wapo vizuri sana Ivory coast pale mbele kwa kina Diakiate Ndio wazuri sana
Yaniii kazi ipo!!hamasa iko juu sana japo Nigeria kuwafunga ujipange kweli kweli
mzee wa kujitwisha Ndoo piga krosi 100 akufunge 90Na jini Haller kalud
icho sjajuaYaniii kazi ipo!!
Hivi mwenye kile kipaka kinasemaje utabiri wa fainali??
leo wakileta mchezo wanatoboka waanze ogaaa ogaaa ogaaa i need my moneyNatamani Nigeria washinde...
Ila hawa Wapopo itakuwa Sherehe hadi Afcon ijayo....
Hawana jambo dogo....Na Wanapenda Sherehe hao[emoji2]
Mkuu umeme upo uko kwenu ? TZpigaaaa hayooooo ma mutu ga congo
umeme upo wa kutoshaMkuu umeme upo uko kwenu ? TZ
Ndio maana mmepigwa na wazulu na bado Goma wanawalinda kweli Congo nyiny ni wanyonge wapemba wansema yaheeeeee chenga twakupigaaa na Goli twakufunga Ndio kilichowakuta janaMkuu umeme upo uko kwenu ? TZ
Tupo bwana mim leo naendaa na ivory coast sina Namna kabisaTembo tujuane aka the Oranges
saa tano ngoma hiyoooooShughuli saa ngapi wakuu
Kamili siyo?saa tano ngoma hiyooooo
NdioKamili siyo?
Kbs kaka.. Tuombe uzima tutakua bega kwa bega.Safi mkuu, ngoja tumalizie shughuli leo ya AFCON kisha panapo majaliwa tukutane mwezi Juni kwenye Euro 2024 pale Ujerumani.
Kwa leo natembea na Nigeria!!
Ahsante mkuuNdio