2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Natamani Nigeria washinde...

Ila hawa Wapopo itakuwa Sherehe hadi Afcon ijayo....

Hawana jambo dogo....Na Wanapenda Sherehe hao[emoji2]
 
Cote D'Ivoire watashinda 1-0 na kulitwaa taji kwa mara ya tatu 1992, 2015 na 2023 (2024). All the best the world's largest cocoa producer. Nigeria will swallow their pride.
 
Natak kusema niko Nigeria leo lkn nikikumbuka Hawa wapumbavu Ivory cost walivo na bahat nabid niwe mpole tu niangalie mpr.

Leo Nigeria Anakaz Sana Pa1 yy ndo favorite lkn Hawa maboya kama bahat wanayo na wamefika final wanaanza kuamin kbs maajab yanawezekana.
 
Back
Top Bottom