Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
[emoji23]Mkuu usicheke ni swala mda tu itajulikana tumefuzu kwa style gani had tuko AFCON.Hahahaha
Inaweza kuzaa goli hii..!FK kwa Algeria kwa dakika za mwisho
Game ya Tanzania vs Morocco ni saa 2. Usije ukakosa mpira ndugu.Saa 5 ya kibongo mkuu.
Game za kesho ni
Burkina Faso na Mauritania
Hii saa 11 jioni.
Game ya saa
2
Itakuwa
Tunisia na Namibia.
Game ya Starz itakuwa
Saa 5 ambayo ndiyo ya mwisho kwa kesho
Hahahaha daaa ebana ni noma mzee Baba, maana tangu AFCON ianze kila game mpira unapigwa wa 50,000/= mpaka 60,000/=. Sasa najiuliza sijui itakuaje Mkuu.[emoji23]Mkuu usicheke ni swala mda tu itajulikana tumefuzu kwa style gani had tuko AFCON.
[emoji23]Wala usiwe na shaka kiongozi kesho sio mbali mnamo sa2 na dkk 50 usiku wkt 1st half inaisha ndo tutaanza kujua hii team imejiandaa kweli kua hapo ilipo au imefika tu kula kodi zetu wananchi wanyonge.Hahahaha daaa ebana ni noma mzee Baba, maana tangu AFCON ianze kila game mpira unapigwa wa 50,000/= mpaka 60,000/=. Sasa najiuliza sijui itakuaje Mkuu.
Sana, muhimu tupambane kweli maana kwa matches zote mpaka sasa tumeshuhudia mpira unapigwa kweli ile ile yaani.[emoji23]Wala usiwe na shaka kiongozi kesho sio mbali mnamo sa2 na dkk 50 usiku wkt 1st half inaisha ndo tutaanza kujua hii team imejiandaa kweli kua hapo ilipo au imefika tu kula kodi zetu wananchi wanyonge.
[emoji419][emoji817][emoji91][emoji1430]Sana, muhimu tupambane kweli maana kwa matches zote mpaka sasa tumeshuhudia mpira unapigwa kweli ile ile yaani.
Screenshot ratiba yako ulipoichukulia.Saa 5 ya kibongo mkuu.
Game za kesho ni
Burkina Faso na Mauritania
Hii saa 11 jioni.
Game ya saa
2
Itakuwa
Tunisia na Namibia.
Game ya Starz itakuwa
Saa 5 ambayo ndiyo ya mwisho kwa kesho
CCM au Mama Abdul Stars itakuwa uwanjani kesho. Kwa mechi zilizochezwa toka kuanza kwa michuano sisi ndio tutatia aibu. Wakenya wanasema "KBC Watainesha bure CCM Stars ikiwa inakukuruka huko AFCON"Tukutane kesho butua butua Fc
Wewe ni mbishi sana sijui umelewaSaa 5 ya kibongo mkuu.
Game za kesho ni
Burkina Faso na Mauritania
Hii saa 11 jioni.
Game ya saa
2
Itakuwa
Tunisia na Namibia.
Game ya Starz itakuwa
Saa 5 ambayo ndiyo ya mwisho kwa kesho
Ndio kipi hiko?Kichwa cha mwendawazimu kazini leo.
Tukitakie heri!!