Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Taifa Stars.Ndio kipi hiko?
Au unamzungumzia Diarra
Nilikosea, ni kesho sio leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa Stars.Ndio kipi hiko?
Au unamzungumzia Diarra
Wakenya wanafiki sana kwahiyo wanataka Kila raia ajue aibu itakayotukumba sio?CCM au Mama Abdul Stars itakuwa uwanjani kesho. Kwa mechi zilizochezwa toka kuanza kwa michuano sisi ndio tutatia aibu. Wakenya wanasema "KBC Watainesha bure CCM Stars ikiwa inakukuruka huko AFCON"
Mrs. Hafidh au Mama Abdul stars inachukua Kombe hilo.hii afcon bingwa asipokuwa senegal au moroco basi atachukua asiyetarajiwa kama ile aliyobeba zambia mbele ya kina drogba
Hivi Ya jana saa 5 walitokaje??Wamatumbi wa Angola wasipokaza watakula nyingi
Hivi Ya jana saa 5 walitokaje??
Aziz K inn!!Game za Leo 16/01/2024.
View attachment 2873157
Niko na;
1. Burkina Faso
2. Namibia
3. South Africa.