Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simuoni Aziz Ki akikaba kama kawaida yakeTumekoswa hapa huyu nani sijui alichomesha
Mimi sijamuona hata akiwa na mpiraSimuoni Aziz Ki akikaba kama kawaida yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sijamuona hata akiwa na mpira
Na hivi natumia app ambayo wanatangaza kifaransa ndio kabisaa inahitajika concentration ya macho tu kumtafuta
Nimemuona mwanetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Alipata touch kama 4 hivi tokea hapo sijamuona kabisa. Atakuwa wakwanza kula sub.
Mkuu Kuna mpiraWana balaa sana
Hana Maajabu...Aziz K
NdioMkuu Kuna mpira
Kacheze weweHana Maajabu...
Kacheze wewe 😂 acha wivu ntawaita mlandege waje kuwapigeni kimoja nyie makoloNimemuona mwanetu
Aise kapewa jezi ya Chama
Hapana mzee majamaa wanamiliki mpira asilimia 57 wale Mauritania wana 42Akina Azizi K wanapelekewa pumzi ya moto
Wewe unazo ngapi ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Alipata touch kama 4 hivi tokea hapo sijamuona kabisa. Atakuwa wakwanza kula sub.
Asante mkuu nimeona TBC.Ndio
MnoooooHawa Mauritania wako serious sana
Kuna makolo hapa wanakwambia ni mmbovuGame ya moto hii kwa Kiba master Key 🗝