2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Wananchi wameanza kuwakilishwa rasmi afcon muda huu kwa Stephane aziz ki kuongoza midfield ya Burkina Faso.
Kila la heri Burkina Faso .
Aamin.. Na Usiku kipa mkareee wa Wananchi atakiwasha kuwakilisha nchi yao Mali

Hurrraaayyy Wananchi Hurrraaayyy Ki Aziz Hurrrrayy Diarra Mali and Burkina Faso

cc Smart911
 
Back
Top Bottom