Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Mbona inakuuma sana. Si tunaangalia mpira ama?Wewe unazo ngapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona inakuuma sana. Si tunaangalia mpira ama?Wewe unazo ngapi ?
Kuna makolo hapa wanakwambia ni mmbovuGame ya moto hii kwa Kiba master Key 🗝
Wewe ndo imekuuma sana yaani sana hadi umepata husdaMbona inakuuma sana. Si tunaangalia mpira ama?
Azizi Ki ana enjoy kucheza boli akiwa na jezi ya role model wakeKacheze wewe 😂 acha wivu ntawaita mlandege waje kuwapigeni kimoja nyie makolo
Hapana mzee majamaa wanamiliki mpira asilimia 57 wale Mauritania wana 42
Mpaka sasa hajaonyesha maajabMchezaji wa kwanza kutoka NBC Premier League tunamshudia. Ki
Bahati mbaya tuMaster Ki kapiga juu
Azizi Ki ana enjoy kucheza boli akiwa na jezi ya role model wake
Unazingua weweBahati mbaya tu
Ila cross kama ile kwa NBC ni goli
Daaah TANESCO🤣🤣🤣 ameshatoa hukumu mkuu.Ndio
Tizama online tu 😁🤣😂Daaah TANESCO🤣🤣🤣 ameshatoa hukumu mkuu.
Daaah TANESCO[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ameshatoa hukumu mkuu.
Usicheke mkuu sio pilato tu aliyetoka hukumu 😂😂😂 ya kifo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke mkuu sio pilato tu aliyetoka hukumu [emoji23][emoji23][emoji23] ya kifo.
Hata hawa wanaosema tunayaangaza maisha yako huwa wanaangaza kukuona wakikupata wewe unatangangulizwa tu