2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Azizi Ki ana enjoy kucheza boli akiwa na jezi ya role model wake
20240114_134755.jpg

Mlandege 😂
 
Iringa town wamekata. hii Afcon kuichek kwenye hii nchi ni changamoto!

Nashangaa bwawa la mtera lipo ndani ya Iringa na mvua inapiga daily alafu umeme tunaupata kwa mgao, hatuna viongozi hii nchi!
 
Back
Top Bottom