2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

CCM au Mama Abdul Stars itakuwa uwanjani kesho. Kwa mechi zilizochezwa toka kuanza kwa michuano sisi ndio tutatia aibu. Wakenya wanasema "KBC Watainesha bure CCM Stars ikiwa inakukuruka huko AFCON"
Wakenya wanafiki sana kwahiyo wanataka Kila raia ajue aibu itakayotukumba sio?
 
IMG_9405.jpeg
 
Wananchi wameanza kuwakilishwa rasmi afcon muda huu kwa Stephane aziz ki kuongoza midfield ya Burkina Faso.
Kila la heri Burkina Faso .
 
Back
Top Bottom