Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Hakika mkuu.Ulikuwa ni wasaa mzuri sana kujumuika na nyinyi wadau wote katika kipindi hiki chote cha mashindano, japo kuna nyakati tulipitia ups & down za Tanesco lakini daima tulikuwepo katika uzi huu!
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho, hakika tumefikia mwisho wa Afcon hii ambayo bila kumung’unya maneno ni Afcon bora kuwahi kuitazama!!
Najua tutaendelea kuonana kwenye majukwaa mengine, ila kwa hapa Mpaka wakati mwingine, Adios Amigo[emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Hakuna kufeli tumetimiza jambo hatimae.
[emoji471][emoji1081]