2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hakika mkuu.

Hakuna kufeli tumetimiza jambo hatimae.

[emoji471][emoji1081]
 
Aluta Continua
 
Wamejua kutushangaza kwa kweli, wamepambana sn pia wana bahati sn.
 
TANGU MWANZO niliipa Ivory Coast nafasi ya kubeba hili kombe, licha ya kupita kama best losers.

HAWAJANIANGUSHA.
 
Tanzania hakunaga umoja kama huo. Utapoteza muda wako bure.

Usinunue LUKU wakati wengine ndio wanaingiza pesa kupitia LUKU
Sasa kama tutaamua ku strike kwa kutonunua LUKU hata hao wanaoingiza pesa si hawatafanya biashara. Meams lengo limefanikiwa ujumbe unaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…