2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Yeah lakini hamna mahali niliposema mimi ni mbetiji mkuu
 
Kuwa na watu wengi sio hoja kwani kuna nchi zenye watu wengi lakini hazina uchumi mkubwa kihivyo.

Misri na Morocco hazijawahi kuwa na uchumi mkubwa barani Afrika, Afrika Kusini imekuwa na uchumi mkubwa barani Afrika kwa muda mrefu kabla ya uchumi wake kupitwa na ule wa Nigeria kwa hii miaka ya karibuni.
 
Of course muda hautoshi hivyo tunge-concentrate na Vijana wa miaka 19/21/24
 
Hata tukijiandaa kwa miaka kumi bado hatuwezi kubeba kombe kwa kucheza mpira kihalali.
Labda tuwange,au kuliiba tu kama vipi.

Mpira wa Tanzania,maneno meengi mpira sifuri.
Tumejaza wapiga madomo wasemaji wanaume wanasutana weee kabla ya mechi.. ingekuwa misuto ndio mpira wenyewe,tz tungekuwa level za ligi kuu ya uingereza.
Km maandaliz ndo waanze ss hv ss waandae vijana. Lkn ss hamna lolote watafanya yn watasubir hd hyo 2027 tuanze kuunga unga mwee
 
Lete records kuonyesha kwamba hizo nchi zimewahi kutawala uchumi wa Afrika.
 
Wasemaji watimu wanakuwa kama wanawake bwana 🤣🤣🤣🤣
Sie hatujui boli kabisa kazi kuzibeba simba na yanga
 
Lete records kuonyesha kwamba hizo nchi zimewahi kutawala uchumi wa Afrika.
Duuh jaribu kufuatilia tu mkuu kwa sababu utakuwa unanipa kazi ya kutafuta vitu ambavyo nilivisoma muda mrefu, tena kwa kukutana Navyo randomly tu huko mitandaoni, ila kwa kukusaidia kuna hii nimeiona hivi karibuni ambayo Egypt ndio imetop the list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…