2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hahaha dadeki wamejua kuwavua nguo ndugu zao, siyo parties kuzimwa tu yani hadi mikeka mingi imechanwa leo, watu waliingia na matokeo yao mifukoni
Dah,

Kumbe ningekuwa mtu wa kubeti ningepiga hela na mini.
 
sikuhizi unamijineno sio kama zamani! haya kaka wa watu ushaniita mjinga! kutoa ushauli tu wakulinda penzi la ndoa! nimekoma..😅
Siku hizi ndio nimekuwa mpole sasa, ingekuwa zamani ningekushushia gazeti la kichambo.

We nae umezingua, mpenzi yuko mbali na kalala saa hizi wakati mimi ndio nimeshtuka ulitaka nifanyaje?
 
Siku hizi ndio nimekuwa mpole sasa, ingekuwa zamani ningekushushia gazeti la kichambo.

We nae umezingua, mpenzi yuko mbali na kalala saa hizi wakati mimi ndio nimeshtuka ulitaka nifanyaje?
umuamshe mpige stori unamuachaje alale we upo macho!
 
Siku hizi ndio nimekuwa mpole sasa, ingekuwa zamani ningekushushia gazeti la kichambo.

We nae umezingua, mpenzi yuko mbali na kalala saa hizi wakati mimi ndio nimeshtuka ulitaka nifanyaje?
Nikupelekee moto
 
Yan ccm wanaujinga mwingi sana mabango ya mama samia yatakuwa yakutosha uwanjanii, yan kwa stail hiyo mpira hauwez fika popote
Binafsi tusishinde tu maana hata viongozi wa mpira nao wajinga wajinga watupu hawawezi ongea bil kumtaja mama Samia haya Sasa na siasa zao chafu hatufiki popote
Tumezidiwa na timu zenye vita Kila siku

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wa naija tutaweka wapi nyuso?, kuna yule anaitwa aina sijui, jamaa anacheza kibishoo sana, japo anajua kias chake.
 
Sjui ila kwa kiongoz Tena Raisi hiyo ni dalili yakutokuwa mzalendo

Mkuu uzalendo unapimwa kwa kuoa? Vipi Mzalendo Agostiono Neto.....na mkewe Maria Da Silva.....Je unajua Mke wa Mondlane muasisi wa Frelimo...Janet Rae Johnson.....Mkuu hatupimi uzalendo kwa jinsi hiyo.....Au unasahau mke wa Mugabe jinsi alivyo waliza Wazimbabwe licha ya kuwa ni mzawa?
 
Back
Top Bottom