Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Dah,Hahaha dadeki wamejua kuwavua nguo ndugu zao, siyo parties kuzimwa tu yani hadi mikeka mingi imechanwa leo, watu waliingia na matokeo yao mifukoni
Kumbe ningekuwa mtu wa kubeti ningepiga hela na mini.