Timu yetu iko vizuri ,kuwa mzalendo.CCM au Mama Abdul Stars itakuwa uwanjani kesho. Kwa mechi zilizochezwa toka kuanza kwa michuano sisi ndio tutatia aibu. Wakenya wanasema "KBC Watainesha bure CCM Stars ikiwa inakukuruka huko AFCON"
🤣🤣 watu wakaanza kuingiza chuki binafsi sasaKacheze wewe 😂 acha wivu ntawaita mlandege waje kuwapigeni kimoja nyie makolo
Hapana mzee majamaa wanamiliki mpira asilimia 57 wale Mauritania wana 42
hatuwezi kukosa mkuu, kumbuka ile ni timu ya chama na serikali...Hivi sisi tutaweza kupata hata on target kwa Morroco
Tanzania [emoji1241]hii afcon hakuna underdog...
Mpaka Tunaogopa yani!!Afcon hii haina timu nyonge labda tz
Morocco wakipiga mipira mirefu mirefu wanatuua mapema sanaHivi sisi tutaweza kupata hata on target kwa Morroco