2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hii Afcon watu watatoana roho.

Majuzi wakati Afcon inaanza Coach Pitso alisema underdog ambaye pia wa kuangalia ni Namibia na kweli Namibia inavoonekana hajaja kusindikiza watu.

Kesho ndo tutajua kwamba sisi tumefuzu kwa style gani na ilikuaje had tuko AFCON ayo yote mda kama huu kesho yatakua yashaanza kujulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…