2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Bongo hata jezi ya Taifa haijulikani rangi yake. Nchi nyingine Wana rangi jezi ya kudumu kwa mashabiki na wakiwa uwanjani majukwaa yanakuwa rangi Moja. Sasa bongo Sasa 🙆🙆
 
Huu muda sasa 20' ntatoboa kweli!!?😴😴😴💤💤💤💤💤💤
 
Back
Top Bottom