Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Acha kumfananisha Kibu na Tau wewe.Maskini south, Tau kawaangusha
Huyu mtu hana tofauti na kibu.
Kibu ni mchezaji wetu yupo kambini wewe unasema niniMaskini south, Tau kawaangusha
Huyu mtu hana tofauti na kibu.
Unamwonaje mkuu.Kipa namba 1 wa Mali ni mgonjwa au ndio Diara ?
Amekoswa koswa FK hapa iliyopigwaUnamwonaje mkuu.
Tumpe tu maua yake.
Ameweza sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan tau nilimdharau siku tumecheza na al ahly taifa, AFL niliona huyu ni mzigo tyuuh.Acha kumfananisha Kibu na Tau wewe.
Kibu yuko mbali sana [emoji1787]
Na kesho utaona huyo kibu, utaamini ni Remix ya Tau.Kibu ni mchezaji wetu yupo kambini wewe unasema nini
Amefanya vizuri always ni kipa mzuriUnamwonaje mkuu.
Tumpe tu maua yake.
Ameweza sana
Sio kesho ni leo subiri pakucheKesho Tanesco watuvumilie wasikate Umeme ili tuone vichekesho!!