2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nashukuru tanesco kukata umeme mchana na kuurudisha saa mbili kamili angalau tucheki game

iLa shenzi zao mvua zimenyesha sana

Nasikitika pia kutanganza tushalala 1 hapa
 
Kipa anatema mpira ila hakuna beki yoyote wa kuondoa, yaani wachezaji watatu wote wa Morocco wanaaufikia mpira ila beki zetu zimezubaa kwenye msitari.

Walikuwa wanategemea foul au?
Inakua kama goli la kwanza walogungwa wazulu jana na mali
 
Back
Top Bottom