2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Style ya nywele ya Hakimi naikubali, nikiwaambiaga washkaji waionyoe sijui wanakosea wapi? Hata kama hakuwa na kisogo kimerudi nyuma ila akishanyoa hivyo tu, anaota na kisogo.
Mjanja huyo ameandikisha Mali zake kwa Jina la Mama yake hata ukimpenda ni bure. Huambulii hata 100 kwani ni lazima amuombe Mama yake ndio akupe wewe.
 
Formation ya ovyo , yani wachezaji Wana piga back pass , hatuendi kushambulia huu ni ujinga, yani tunasakwa tu
 
Back
Top Bottom