2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Umeharibu kuweka mahaba, huyo Salah alifanya nini cha maana? Alipata a clear chance akambwela mpaka mwenzie alipouchukua mpira kiufundi akafunga lile goli la kwanza…

Au ndio ile penalty ambayo hata hivyo kipa aliigusa?
Kwenye mijadala ya miamba iliyofanya vizuri uweke mahaba pembeni.
Najua hizi Cheche zote ulizonitupia ni baada ya kuihusisha Arsenal 😂😀 nisamehe bure Mkuu
 
Msiogope
20240117_023211.jpg
 
Back
Top Bottom