Artificial Horizon
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 432
- 977
Amini ndugu zangu Morrocco Leo anakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua hizi Cheche zote ulizonitupia ni baada ya kuihusisha Arsenal 😂😀 nisamehe bure MkuuUmeharibu kuweka mahaba, huyo Salah alifanya nini cha maana? Alipata a clear chance akambwela mpaka mwenzie alipouchukua mpira kiufundi akafunga lile goli la kwanza…
Au ndio ile penalty ambayo hata hivyo kipa aliigusa?
Kwenye mijadala ya miamba iliyofanya vizuri uweke mahaba pembeni.
Aamin AaaminAmini ndugu zangu Morrocco Leo anakufa
Nahisi ni Dar nzimaTanesco wamefanya yao
Yah itakuwa sehemu kubwa ya jijiNahisi ni Dar nzima
Huku ikiwa bado 1hr watoto wa samia waingie dimbaniYah itakuwa sehemu kubwa ya jiji
Sio dar nzima, maeneo mengine upo.Nahisi ni Dar nzima
🤣🤣🤣hujuma bila shakaHuku ikiwa bado 1hr watoto wa samia waingie dimbani
Wazee wa vibanda umiza watakuwa wameleta hujuma nini 😁
Inabidi niwahi banda umizaTanesco wapumbavu na simu inaenda kuzima ujinga huu
Huyu anaenda kuwakaba wenzake