Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Taifa lenye jersey za stripes!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hazina nambaTaifa lenye jersey za stripes!
Mjanja huyo ameandikisha Mali zake kwa Jina la Mama yake hata ukimpenda ni bure. Huambulii hata 100 kwani ni lazima amuombe Mama yake ndio akupe wewe.Style ya nywele ya Hakimi naikubali, nikiwaambiaga washkaji waionyoe sijui wanakosea wapi? Hata kama hakuwa na kisogo kimerudi nyuma ila akishanyoa hivyo tu, anaota na kisogo.
Je mnaweza kuzibana dakika 90?hapa ni mwendo wa kubana kende
Kocha alishasema mapema mwaka huu ni kupata uzoefuSisi tumeenda kupaki basi
Aamin aamin! Tushinde jamani 🙏Mungu ibariki Tanzania
Outdated story..Mjanja huyo ameandikisha Mali zake kwa Jina la Mama yake hata ukimpenda ni bure. Huambulii hata 100 kwani ni lazima amuombe Mama yake ndio akupe wewe.
Poleni sana maskini..Kocha alishasema mapema mwaka huu ni kupata uzoefu
Wacha weeeeee, umempendea nini sasa? Jamaa kauzu yule. Huambulii hata 100. We waonee wazigua wenzako tu.😀😃😄😁😆Outdated story..
Pole kwa taifaPoleni sana maskini..
Niko nje ya Taifa miePole kwa taifa