Lazima tupigwe 2-0Na hivi vipasi vya Zaych, hatutaweza shika bomba kwa dakika 90.
Wnadhani ni waamuzi wa ligi kuuKipa anatema mpira ila hakuna beki yoyote wa kuondoa, yaani wachezaji watatu wote wa Morocco wanaaufikia mpira ila beki zetu zimezubaa kwenye msitari.
Walikuwa wanategemea foul au?
Tunalamba asali tulia weweTanesco ya maharage ni bora kuliko hii ya sasa...
Kiangazi mgao..
Masika mgao
Yaani ajielewi badala ya kufanya commentary anawaza hisitoria na maishaYeye alichojaza kwenye kichwa chake ni historia za wachezaji tu, muda wote anapiga kelele za kijinga tu.
Ila naamini hii game morocco hatatupiga zaidi ya mbili atahifadhi nguvu kwa ajili ya mechi ngumu za mbele
Jiandae 2-0Mpaka sasa hatujaruhusu goli tumejitahidi sana
HaisaidiiMbona jezi ya taifa stars nzuri tu jamani watu walikua wanaandamana kitu gani sasa!!
Ee Mungu saidia timu yetu [emoji1241][emoji120]
Jiandae 2-0Lazima tutafungwa tu, sisi kazi yetu ni kuurudisha mpira kwenye himaya ya Morocco kila tunapoupata.
Ussshhuuuunguuuuuu 😟Poleni sana
Manula kafanya kosa gani hapo? Yani hiyo game ambayo hatuwezi kupiga pasi hata mbili kwenda mbele, kiungo hakitembei, beki Mwamnyeto anageuzwa kama chapati, wewe unamuona Manula tu?Wakuu hivi yule dogo alidaka game ya morocco na Tz iliyopita jau sana au ndo manula kwanza?
ImeshatucostFormation ya ovyo , yani wachezaji Wana piga back pass , hatuendi kushambulia huu ni ujinga, yani tunasakwa tu
Sio kama kafanya makosa mimi nimeulizia yule dogo vipi, kukusanya maoni ya wadau juu ya kiwango chakeManula kafanya kosa gani hapo? Yani hiyo game ambayo hatuwezi kupiga pasi hata mbili kwenda mbele, kiungo hakitembei, beki Mwamnyeto anageuzwa kama chapati, wewe unamuona Manula tu?
Hapo hata adake kipa wa dunia, hazipungui goli 3.
Jiandae 2-0Manula kafanya kosa gani hapo? Yani hiyo game ambayo hatuwezi kupiga pasi hata mbili kwenda mbele, kiungo hakitembei, beki Mwamnyeto anageuzwa kama chapati, wewe unamuona Manula tu?
Hapo hata adake kipa wa dunia, hazipungui goli 3.
Haisaidii jiandae 2-0Tunakimbizwa hatariii [emoji119][emoji119]